Sisi ni kina nani

Sisi ni CLEAR Global, shirika lisilo la faida linalosaidia watu kupata habari muhimu na kusikilizwa, haijalishi wana zungumza lugha gani.

CLEAR inamaanisha jamii, lugha, ushirikiano, uwajibikaji, na uafikiaji, msingi wa kazi yetu duniani kote.

Uongozi wetu una utaalamu katika tasnia mbalimbali—msaada wa kimataifa, makampuni makubwa ya teknolojia, uongozi kwenye mashirika yasiyo ya faida, na teknolojia ya kisasa ya lugha. Viongozi hawa wanaleta uzoefu wa miongo kadhaa na mitazamo tofauti kwa CLEAR Global, ili tuweze kuelewa vyema na kushughulikia mahitaji ya mawasiliano duniani kote.

CLEAR Global
Timu ya Uongozi

Aimee Ansari, CEO, CLEAR Global

Aimee Ansari

Mkurugenzi Mtendaji, CLEAR Global

Ellie Kemp

Mkuu wa Utafiti, Ushahidi na Utetezi

A photo of Marianthi

Marianthi Eliodorou

Mkuu wa Rasilimali Watu

Stella Paris

Stella Paris

Afisa Mkuu wa Huduma za Lugha

Preshanti Padayachee

Preshanti Padayachee

Msimamizi Mwandamizi wa Fedha

Onyango Rachael

Mkurugenzi wa Ufadhili na Ubia

Alyssa Boulares

Alyssa Boularès​

Mkuu wa Programu za Kimataifa

Mariam Mohanna

Mariam Mohanna

Mkurugenzi wa Mifumo

CLEAR Global
Bodi ya Wakurugenzi

Andrew Bredenkamp, CEO

Andrew Bredenkamp PhD.

Mwenyekiti, CLEAR Global

A photo of Oluwatoyin Adejumo

Oluwatoyin Adejumo

Mshiriki

A photo of Salvatore Giammarresi

Salvatore “Salvo” Giammarresi PhD.

Mshiriki

A photo of of Francis Tsang

Francis Tsang

Mshiriki

A photo of Donna Parrish Bredenkamp

Donna Parrish

Katibu, Mshiriki

A photo of Saleh Khan

Saleh Khan

Kamati ya Utawala

A photo of of Lesley Anne Long

Lesley-Anne Long

Mshiriki

Idara ya Teknolojia ya CLEAR
Bodi ya Wakurugenzi

A photo of Magnus Conteh, holding a microphone

Magnus Conteh

Mwenyekiti, Idara ya Teknolojia ya CLEAR

A photo of Olga Blasco

Olga Blasco

Mjumbe wa Bodi

A photo of Veronica Rodriguez Cabezas

Veronica Rodriguez Cabezas

Mjumbe wa Bodi

A photo of John McElligott

John McElligott

Mweka Hazina

A photo of Donna Parrish Bredenkamp

Donna Parrish

Katibu, Mjumbe wa Bodi

Tumekua tukazidi jina letu.

CLEAR Global ilikuwa ikiitwa Translators without Borders. Tumekua kwa kasi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na jina hilo halitoshelezi tena yote tunayofanya—lakini bado lipo kama kitengo chetu kikubwa zaidi na kiini cha shughuli yetu. Tembelea tovuti ya Translators Without Borders (TWB) hapa.