Wasiliana nasi ili upate njia za kusaidia CLEAR Global kama mfadhili asiyetoa hela taslimu.
Leta athari za kweli za kijamii pamoja nasi.
Mpango wetu wa ndani unatambua ukarimu wa wale wanaotoa muda wao, teknolojia, na utaalamu ili kutusaidia kufikia malengo yetu.Wafadhili wasiotoa hela taslimuhufaidika na mwonekanondani ya jamii kubwa zaidi duniani ya wanaolugha wanaojitolea – wanaozingatia msaada wa kibinadamu na maendeleo.Pata habari zaidi kuhusu TWB – jamii yetu ya kimataifa yenye zaidi ya watu 100,000.