Tufadhili – wasiliana nasi

 

Leta athari za kweli za kijamii pamoja nasi.

CLEAR Global imezindua mkakati mkuu wa kukabili changamoto zinazozuia maendeleo ya kimataifa.  Tunatafuta wabia wa kimkakati ambao wanashiriki maono yetu ya usawa, na wanataka kuleta mageuzi mazuri duniani kote. Jifunze mengi kuhusu ufadhili wa shirika na uweze kufadhili CLEAR Global. 

A group of people using Internet in a box, in Gubio northeast Nigeria, Nov 2019

Wafadhili wetu

Wafadhili wetu wanajumuisha kampuni na mashirika kutoka sekta mbalimbali. Wote wanakuja pamoja kuchangia maono yetu ya pamoja, kusaidia watu kupata habari muhimu na kusikilizwa, kwa lugha yoyote wanayozungumza. Tungependa kushukuru:

Pia tunathamini usaidizi wa wafadhili wetu wa Jamii ya TWB. Pata habari zaidi kuwahusu kwenye tovuti ya TWB.