Taarifa za Fedha
Uwazi wa shughuli zetu ni kanuni inayoongoza hapa CLEAR Global. Tunafuata mwongozo kutoka kwa wasimamizi wa uwajibikaji wa mashirika yasiyo ya kiserikali, ikijumuisha GuideStar na Foundation Center, ambao unapendekeza mashirika yote yasiyo ya kiserikali yadumishe uwazi katika kushiriki fedha, kama vile Fomu 990.
Taarifa maalumu kuhusu fedha za CLEAR Global inapatikana katika Fomu yetu ya 990, taarifa ya msamaha wa kodi ambayo mashirika huwasilisha kila mwaka kwa Huduma ya Mapato ya Ndani ya Marekani.
Tafadhali zingatia kwamba Fomu ya 990 imeandikwa kulingana na tarehe ya kuanza mwaka wa fedha, lakini ina taarifa hadi 31 Machi ya mwaka unaofuata. Hiki ni kipindi sawa na cha mwaka wa fedha wa CLEAR Global, ambacho kimeelezwa kulingana na tarehe ya mwisho ya mwaka wa fedha.
Vilevile, tulisajiliwa rasmi kama Translators without Borders kabla ya mnamo 2021.
Fomu za Huduma ya Mapato ya Ndani (IRS) za CLEAR Global
Taarifa za fedha za CLEAR Global zilizokaguliwa
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2021
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2020
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2019
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha ulioishia Machi 31, Machi 2018, na 31 Desemba, 2018
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2018
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2017
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2016
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2015
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka wa Fedha 2014
Taarifa za Wakurugenzi wa TWB Ireland na hesabu zilizokaguliwa
- Ripoti ya Wakurugenzi na Taarifa ya Fedha ya Mwaka wa Fedha 2021
- Hesabu Zilizokaguliwa za TWB za Mwaka wa Fedha 2020
- Ripoti ya Wakurugenzi ya Wakfu wa Rosetta CLG na Taarifa ya Fedha ya Mwaka wa Fedha 2019
- Ripoti ya Wakurugenzi ya Wakfu wa Rosetta CLG na Taarifa ya Fedha ya Mwaka wa Fedha 2018
- Ripoti ya Wakurugenzi ya Wakfu wa Rosetta CLG na Taarifa ya Fedha ya Mwaka wa Fedha 2017